Habari za michezo

#NGAOYAJAMII2022: MAKOCHA WAOGOPANA MAPEMAAA….WAFICHA SILAHA ZAO MUHIMU BENCHI…VIKOSI VYOTE HIVI HAPA…

admin August 13, 2022 7:41 pm


Yanga na Simba wanakutana muda mchache kutoka sasa ikiwa ni mchezo wa Ngao ya Jamii 2022 kuelekea kwa msimu mpya 2022.

Kila timu imefanya usajili wa kutisha jambo linalofanya kila timu kuingia katika mchezo huo ikiwa inajiamini kuondoka na ushindi.

Tazama vikosi vya timu zote mbili vinavyoanza mchezo wa leo;

DAKIKA CHACHE KABLA YA MECHI KUANZA….OKRAH AWAPA UJUMBE HUU KUNTU MASHABIKI WA SIMBA….YANGA MJIANDAE… NI YULE YULE…MAYELE AIPASUA SIMBA KATI KATI…BALAA LA AZIZ KI SIO POA…SAKHO KAMA KAWA NA MAGOLI YA CAF…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply