Habari za michezo

KUHUSU MSEMAJI MPYA YANGA….BABA LEVO NAYE AJITOSA KUOMBA NAFASI…AHAIDI KUWAKERA MSIMBAZI…

admin August 19, 2022 8:26 am

Kutoka kwa chawa wa kimataifa Babalevo jana amethibitisha kuwa ametuma maombi ya Usemaji kwenye Klabu ya Yanga.

Ikumbukwe Siku chache zilizopita Klabu hiyo iliachana na Msemaji wao, Hassan Bumbuli baada ya kumaliza mkataba wake, hivyo nafasi hiyo ipo wazi kwa sasa.

Kupitia Ukurasa wa Instagram Baba levo ameshare picha yenye ujumbe uliothibitisha kuwa Barua yake ya Maombi tayari imeshafika katika Ofisi za Klabu hiyo;

“Lengo ni kuhakikisha timu ya wananchi Yanga hatupoi. Ni wahahakishie tuu hakuna walichokiepuka kero itakuwa vilevile 100%,” ameandika Baba Levo

BAADA YA KAUNZA LIGI KWA MOTO WA AINA YAKE…MAYELE ATAMBA KUZIDI KUWAKERA KWA KUTETEMA… KAMA ULIKUWA HUJUI…UBABE WOTEE WA YANGA KWA SIMBA UKO KWA NABI…TIRIRIKA NA TAKWIMU HIZI A-Z….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply