Habari za michezo

KUELEKEA MECHI NA LIVERPOOL KESHO….ROONEY APIGA DEBE RONALDO ASIPANGWE….KISA NI….

admin August 21, 2022 5:23 pm


Nahodha wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney amemshauri kocha wa timu hiyo, Erik ten Hag kutompanga Cristiano Ronaldo katika mchezo dhidi ya Liverpool.

Tim hizo zinatarajiwa kukutana katika kipute cha Premier League, kesho Agosti 22, 2022.

Rooney anaamini United inahitaji wachezaji wenye nguvu na kasi, anadai anaona kwa umri wa Ronaldo na kwa kuwa mchezaji huyo hayupo fiti basi hatakiwi kuanza mchezo huo sambamba na Marcus Rashford ambaye kiwango chake kimeshuka.

KILICHOPO NYUMA YA PAZIA ISHU YA JEZI ZA VUNJA BEI NA POLISI TANZANI….WAAMUA KUCHUKUA MAAMUZI MAGUMU… ISHU YA KUSAJILI KIUNGO…WANIGERIA WAGOMEA MAMILIONI YA SIMBA…NABI AFUNGUKA USAJILI WA MANZOKI YANGA SC…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply