Habari za michezo

LIGI KUU UINGEREZA: CHELSEA WACHANA MKEKA….YAWA ‘KUBWA JINGA’ MBELE YA LEEDS…WAKUNG’UTWA KAMA NGOMA ….

admin August 21, 2022 4:14 pm


Leeds United imeendelea kuwa na mwanzo mzuri wa msimu baada ya kufanikiwa kupata ushindi magoli 3-0 dhidi ya #Chelsea kwenye Uwanja wa Elland Road, leo Agosti 21, 2022.

Wafungaji wa #LeedsUnited katika mchezo huo ni Brenden Aaronson, Rodrigo Moreno na Jack Harrison, pia haikuwa siku nzuri kwa beki wa kati wa Chelsea, Kalidou Koulibaly ambaye alitolewa kwa kadi nyekundu katika dakika ya 85.

Aidha, katika mchezo mwingine wa Premier, West Ham United ikiwa nyumbani imepoteza kwa magoli 2-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion.

HIVI NDIVYO ‘TAMBO NA MANENO YA SHOMBO’ YANAVYOMPA ULAJI MANDONGA MTU KAZI…LEO KUZICHAPA NA BONDIA HUYU… KILICHOPO NYUMA YA PAZIA ISHU YA JEZI ZA VUNJA BEI NA POLISI TANZANI….WAAMUA KUCHUKUA MAAMUZI MAGUMU…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply