Azam FC

STAA WA AZAM AULA UTEUZI TAIFA STRAS…NI BAADA YA KUFUNGA GOLI LA KIDEONI…

admin August 23, 2022 2:54 pm

 


Kocha Mdenmark, Kim Poulsen amemuongeza kiungo Tepsi Evans wa Azam FC kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuelekea mchezo wa kufuzu Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) dhidi ya Uganda Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Timu hizo zitarudiana Septemba 3 Uwanja wa St. Mary’s Kitende mjini Entebbe na mshindi atafuzu Fainali za CHAN ambazo zitafanyika nchini Algeria kuanzia Januari 8 hadi 31.

Tepsie Evans ameinesha kiwango bora tangu kuanza kwa msimu mpya 2022/2023 akifunga mabao mawili katika meci mbili alizocheza mpaka sasa na kutoa pasi moja ya bao.

HIVI NDIVYO WASUDAN ZALAN FC  WALIVYOIPA YANGA ‘KAMTELEZO’ KA KUFUZU MAKUNDI ….CAF WABARIKI MIPANGO YAO …. KUHUSU ISHU YA KUTEMWA SIMBA….KAPAMA AVUNJA UKIMYA…AFUNGUKA A-Z KUTOONEKANA KAMBINI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply