Home Habari za michezo HIKI HAPA KIKOSI KIZIMA CHA SIMBA KWA MSIMU HUU WA 2022/23…MASTAA HAWA...

HIKI HAPA KIKOSI KIZIMA CHA SIMBA KWA MSIMU HUU WA 2022/23…MASTAA HAWA NDIO WATAKAOPEPERUSHA BENDERA NYEKUNDU…


KIKOSI cha Simba msimu wa 2022/23 ambacho kilitambulishwa Agosti 8/2022 kwenye kilele cha Simba Day ambapo walicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya St George na Simba ilishinda mabao 2-0.

  1. Ally Salim-1
  2. Beno Kakolanya-30
  3. Aishi Manula-28
  4. Israel Mwenda-5
  5. Shomari Kapombe-12
  6. Gadiel Michael-2
  7. Mhamed Hussein-15
  8. Nassoro Kapama-35
  9. Erasto Nyoni-18
  10. Kennedy Juma-26
  11. Joash Onyango-16
  12. Mohamed Ouattra-33
  13. Henock Inonga-29
  14. Mzamiru Yassin-19
  15. Victor Akpan-6
  16. Jonas Mkude-20
  17. Sadio Kanoute-13
  18. Peter Banda-11
  19. Jimmysone Mwanuke-21
  20. Augustine Okra-27
  21. Clatous Chama-17
  22. Nelson Okwa-8
  23. Pape Sakho-10
  24. Kibu Dennis-38
  25. John Bocco-22
  26. Habib Kyombo-77
  27. Moses Phiri-25
  28. Dejan Georgijevic-7
SOMA NA HII  IMEFICHUKAAH...KOCHA MPYA SIMBA KULIPWA ZAIDI YA MILIONI 98 KWA MWEZI...ISHU NZIMA IKO HIVI...