Home Habari za michezo KESHO NI MUENDELEZO WA SOKA LA KIBABE LAKINI SAFARI HII LINALADHA YA...

KESHO NI MUENDELEZO WA SOKA LA KIBABE LAKINI SAFARI HII LINALADHA YA KIBINGWA ZAIDI…MZIGO WOTE HUU NI DStv PEKEE…

Inakwenda kuwa Jumatano ya Kibabe sana kwa wapenzi wa #Soka ambapo wote tutaelekeza mawazo na macho yetu kwenye mtanange wa Real Madrid dhidi ya Frankfurt katika fainali ya UEFA Super Cup.


Uhondo ni kuwa kupitia kifurushi cha Poa 9,900/= tu utapata kutazama Live mechi hii ndani ya @dstvtanzania pekeee.
 Piga *150*53# kulipia kwa urahisi zaidi.

#MsimuWaSokaLaKibabe
SOMA NA HII  PAMOJA NA KUSAFISHWA NA TFF...MGUNDA KAFUNGUKA HAYA SAKATA LA LESENI YAKE...