Home Habari za michezo KUELEKEA MECHI NA LIVERPOOL KESHO….ROONEY APIGA DEBE RONALDO ASIPANGWE….KISA NI….

KUELEKEA MECHI NA LIVERPOOL KESHO….ROONEY APIGA DEBE RONALDO ASIPANGWE….KISA NI….


Nahodha wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney amemshauri kocha wa timu hiyo, Erik ten Hag kutompanga Cristiano Ronaldo katika mchezo dhidi ya Liverpool.

Tim hizo zinatarajiwa kukutana katika kipute cha Premier League, kesho Agosti 22, 2022.

Rooney anaamini United inahitaji wachezaji wenye nguvu na kasi, anadai anaona kwa umri wa Ronaldo na kwa kuwa mchezaji huyo hayupo fiti basi hatakiwi kuanza mchezo huo sambamba na Marcus Rashford ambaye kiwango chake kimeshuka.

SOMA NA HII  KUELEKEA KARIAKOO DABI...MGUNDA AIPA JEURI SIMBA...MABOSI WALAMBA 'MDOMO'...