Home Uncategorized LIVE: SIMBA 1-0 POWER DYNAMO

LIVE: SIMBA 1-0 POWER DYNAMO


MEDIE Kagere anawanyanyua mashabiki wa Simba dakika ya 03 kwa kupachika bao la kwanza akiwa ndani ya 18 baada ya mlinda mlango wa Power Dynamo kufanya uzembe kwenye urudishaji wa mpira.


Mchezo kwa sasa unaoendelea uwanja wa Taifa ni kati ya Simba na Power Dynamo ambapo mashabiki ni kama wote ndani ya uwanja wa Taifa.
SOMA NA HII  KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA DODOMA JIJI FC