Home Uncategorized DU! MASHABIKI WA SIMBA SASA HII SIFA, WAKOMBA TIKETI ZOTE ZA SPORTPESA...

DU! MASHABIKI WA SIMBA SASA HII SIFA, WAKOMBA TIKETI ZOTE ZA SPORTPESA SIMBA WIKI



MABINGWA watetezi wa Simbaba wamedhihirisha ubingwa wao leo na kuweka rekodi ya kujaza uwanja wa Taifa kwa kuuza tiketi zote za SportPesa Simba Wiki ambayo inakamilika siku ya leo.


Zilianza kumalizika tiketi za mzunguko ambazo zilikuwa zinauzwa 5,000 (buku tano) kabla ya nyingine ambazo zilikuwa zinauzwa 150,000 kwa Platinum, 100,000 Platinum, VIP A 30,000, VIP B na C 15,000 nazo pia zikaisha.

Hivyo Simba wameweka rekodi ya kuuza tiketi zote ambazo waliziandaa kwenye mchezo wa leo wa kimataifa dhidi ya Power Dynamo ambao unatarajiwa kuanza muda mchache kuanza sasa baada ya kutambulisha wachezaji wake leo.
SOMA NA HII  MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI