Home Habari za michezo KUTOKA SUDAN: WENYEJI WA SIMBA WAMKUNG’UTA MTU GOLI 5 BILA…ZORAN NA JESHI...

KUTOKA SUDAN: WENYEJI WA SIMBA WAMKUNG’UTA MTU GOLI 5 BILA…ZORAN NA JESHI LAKE KUANZA KAZI KESHO…


Klabu ya Al Hilal ya Sudan imeibuka na ushindi wa 5-0 dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana katika mchezo wa kirafiki.

Baada ya kipigo hicho Asante Kotoko itavaana na miamba ya Tanzania, Simba SC mnamo Agosti 28, 2022.

Simba SC itacheza mechi yake ya pili ya kirafiki dhidi ya Al Hilal siku ya Agosti 31, 2022.

SOMA NA HII  PAMOJA NA KUWA UGENINI...NABI NA YANGA YAKE 'ROHO KWATUUU'...AWATUPIA MPIRA MABOSI...