Home Habari za michezo ULE MPAPATUKO WA LIGI KUU YA NBC..KUENDELEA TENA LEO…WAKUBWA WOTE ‘MACHO KODO’...

ULE MPAPATUKO WA LIGI KUU YA NBC..KUENDELEA TENA LEO…WAKUBWA WOTE ‘MACHO KODO’ KWENYE VIWANJA WIWILI….

[the_ad id="25893"]


LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo Agosti 20,2022 ambapo kuna mechi nne zitachezwa kusaka pointi tatu muhimu.

Ikumbukwa kwama jana Agosti 19 ulichezwa mchezo mmoja, Uwanja wa Uhuru na ubao ulisoma Ihefu 0-1 Namungo FC.

Leo ni Coastal Union v Yanga

Polisi Tanzania v KMC

Simba v Kagera Sugar

SOMA NA HII  HUYU MAYELE AJENGEWE SANAMI KARIAKOO...ZAHERA AFUNGUKA HAYA...PABLO AANZA NA UPEPO SIMA.....

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here