Habari za michezo

SAMATTA AANZA KUKIWASHA UPYA NA TIMU YAKE YA GENK….APIGA ‘BONGE LA GOLI’ DAKIKA ZA JIONI…

admin September 12, 2022 10:27 am


Mshambuliaji Mbwana Samatta alifunga katika dakika ya nyongeza na kuisaidia KRC GENK kuibuka na ushindi wa 2-1 ugenini dhidi ya Royale Union Saint Gilloise kwenye ligi kuu soka nchini Ubelgiji.

Hili ni bao la kwanza kwa Samatta tangu arejee rasmi kwenye kikosi hicho kwa mkopo wa msimu mzima.

Ushindi huo umeifanya Genk kufikisha alama 19 katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi hiyo.

MATOKEO

Royale Union 1-2 KRC Genk

Wafungaji

⚽ 15′ Paintsil

⚽ 74′ Lapoussin

⚽ 90+2′ Mbwana Samatta

HII HAPA TIMU KUTOKA ZNZ ILIYOANZA MASHINDANO YA CAF KIBABE….INANAFASI KUBWA YA KUTINGA MAKUNDI… UKWELI MCHUNGU….PAMOJA NA YOTE YANAYOENDELEA SIMBA…SIO BURE KUNA MAHALI HAPAKO SAWA…/MwanaSpoti.

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply