Habari za michezo

WAKATI YANGA WAKITAMBA KUWA NA BIGIRIMANA WAO….PACHA WAKE AIBUKIA KMC …KUANZA MAJAMBOZI NA IHEFU…

admin September 15, 2022 4:30 pm


Straika mpya wa KMC, Bigirimana Blaise ameanza mazoezi na kikosi hicho baada ya kupona majeraha ya nyama za paja.

Bigirimana alijiunga na kikosi cha KMC kwenye dirisha kubwa la usajili akitokea Namungo ambapo hakupata nafasi ya kucheza baada ya kuvunjika mguu.

Akizungumzia maandalizi yao, Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala amesema kuwa “Kikosi kinaendelea vizuri na maandalizi kuelekea mchezo wetu dhidi ya Ihefu ambao tutacheza Septemba 17.

“Mchezaji wetu ambaye alikuwa akisumbuliwa na majeraha, Bigirimana Blaise ameanza mazoezi na wenzake na kila mchezaji anatamani kwenye mchezo ujao basi tupate pointi tatu.

RASMI…SUALA LA KISINDA KUZUIWA KUCHEZA BONGO…LAISHA KININJA….APEWA NAFASI YA KAMBOLE…WAGANDA WAOKOA JAHAZI… PAMOJA NA SIMBA KUSHINDA JANA …INJIA HERSI AVUNJA UKIMYA KUHUSU YANGA YAKE….ADAI BADO SANA …

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply