Habari za michezo

UNAIKUMBUKA ILE ‘MOMENTI’ YA AZIZ KI KUSHANGILIA NA MAKAMBO JUZI…BASI KUMBE NYUMA YA PAZIA KUNA HILI KATI YAO…

admin September 16, 2022 6:43 am


SABABU kubwa ya Aziz KI kumfuata Heritier Makambo baada ya kufunga bao mbele ya Mtibwa Sugar ni ahadi ambayo alipewa.

Mtu wa karibu wa wachezaji hao amesema kuwa Makambo alimuamuambia Aziz KI kuwa atafanya jambo lolote kwenye mchezo huo kufunga ama kutoa pasi.

“Makambo alipokuwa benchi alimuambia Aziz KI nenda uwanjani una bao lako hapo kama sio bao itakuwa ni asisti,” .

Aziz KI alifunga bao lake la kwanza kwenye ligi mbele ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa wakati Yanga ikishinda mabao 3-0.

Nasreddine Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa bado kazi ipo kwa ajili ya mechi zijazo kwenye ligi na kimataifa.

KAMA UNAUNDUGU NA MCHEZAJI WA YANGA…’CHAP HARAKA KAOMBE MSAADA’…WAMELIPWA PESA ZAO KIMYA KIMYA AISEE… EHE…KUMBE ULE USHINDI WA SIMBA JUZI DHIDI YA TZ PRISONS KUNA MENGI YALIFANYIKA..? MKUDE KAFUNGA HAYA A-Z…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply