Home Burudani ACHA KUNGOJA NGOJA AISEE…. KWA MTAJI WA TSH 100 UNATOBOA MAMILIONI…YOTE HAYA...

ACHA KUNGOJA NGOJA AISEE…. KWA MTAJI WA TSH 100 UNATOBOA MAMILIONI…YOTE HAYA NI NDANI YA M-BET PEKEE…


Wengi wanaiita bati, wengine wanaiita mia. Ni sarafu yenye thamani ndogo sana kwa maisha ya sasa kwasababu hata soda tu hupati.

Zile stori za leo nimefulia kinoma, siwezi kubeti game ya leo zimefika mwisho.Kwa bati tu, ndoto na mipango yako inaweza kukamilika kupitia M-Bet.

Shilingi mia ambayo wengi tunaichukulia poa, mia hiyo hiyo inakuwezesha kuingia kwenye ulimwengu wa mamilionea kutoka M-Bet.

Kwa sasa unaweza kubashiri mechi mbalimbali kwa kuweka kiasi cha Shilingi mia moja pekee na utaweza kutusua hadi mamilioni.

Hii inavunja rekodi kwa mara nyingine tena ambapo M-Bet imetoa punguzo kutoka Shilingi 500/= iliyokuwa kiwango cha chini cha kubeti hadi shilingi mia.

Hatua hii inakupa uhuru zaidi wa kubashiri hata muda ambao huna pesa ya kutosha kwani mia tu inafanya upate zaidi.

“Hii ni ya kwanza hapa M-Bet.Tumeamua kuwapa wateja wetu uhuru wa kupata burudani na kushinda zaidi kwa kutumia kiasi kidogo tu cha Shilingi mia moja,” anasema Mkurugenzi wa Masoko, Allen Mushi.

M-Bet ambayo ni mdhamini wa klabu ya Simba kwa udhamini wa miaka mitano mfululizo wenye thamani ya Bilioni 26 inajulikana kwa kutoa mamilinionea kupitia Jackpot ya Perfect12.

 Moja ya hizo ni Perfect 12 jackpot ambayo inakuwezesha kushinda zaidi ya milioni 60 kwa buku tu.

 

SOMA NA HII  BAADA YA KUONA JINSI MORRISON ANAVYOCHEZA NA TABIA ZAKE...NABI KATIKISA KICHWA ..KISHA AKAFUNGUKA HAYA....