Kocha mpya ambaye anatarajiwa kujiunga na Yanga ni raia wa Brazil, Roberto Oliveira anayeinoa Vipers ya Uganda.
Kocha huyo ndiye aliyeifunga Yanga kwenye kilele cha Siku ya Mwananchi jijini Dar es Salaam lakini juzijuzi aliiondosha TP Mazembe nyumbani kwao kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika tena akiipigia mpira mwingi kwa kutumia kikosi chenye thamani ambayo haifikii ile ya Yanga.
WASIFU WA OLIVIERA
- Jina: Robertinho Oliveira
- Kuzaliwa: 22 Juni 1960,Brazil
Alicheza:
- 1978–1982: Fluminense (Brazil)
- 1983: Flamengo (Brazil)
- 1984: Palmeiras (Brazil)
- 1985–1986: Flamengo (Brazil)
- 1987: Internacional (Brazil)
- 1988: Sport (Brazil)
- 1989: Atlético Mineiro (Brazil)
- 1989–1993: Nacional (Ureno)
- 1994–1995: Grössembacher (Brazil)
- Timu ya Taifa: Brazil (1980)
Alikofundisha:
- 1995: Grössembacher (Brazil)
- 1995–1997: Rio Branco (Brazil)
- 1998–1999: Brasil de Pelotas (Brazil)
- 1999–2000: São Bento (Brazil)
- 2000–2002: Fluminense (Brazil)
- 2003: Clube de Regatas Brasil (Brazil)
- 2003–2004: Centro Sportivo Alagoano (Brazil)
- 2004: America (Brazil)
- 2004–2005: Rio Branco (Brazil)
- 2005–2008: Stade Tunisien (Tunisia)
- 2008–2009: Kazma (Kuwait)
- 2009: Al-Shamal (Qatar)
- 2009–2010: Hammam-Sousse (Tunisia)
- 2010–2011: Legião (Brazil)
- 2012–2013: Stade Gabèsien (Tunisia)
- 2013–2014: Grombalia Sports (Tunisia)
- 2014–2016: Atlético Sport Aviação (Angola)
- 2018–2019: Rayon Sports (Rwanda)
- 2020 -2021: Gor Mahia (Kenya)
- 2021/22– Vipers