Home  Habari za michezo  EXCLUSIVE: KAGERE AANIKA A-Z ALIVYOFANYIWA NA SVEN NA KILICHOMTOKEA MPAKA SIMBA WAKAMUACHA…
            - Habari za michezo
- Habari za Simba
- Habari za Simba Leo
- Michezo
- Michezo Bongo
- Michezo Soka la Bongo
- news
- Simba SC
 “Kama wangeng’ang’ania nibaki, timu isipofanikiwa watasemaje? wakati mimi sikuwa chaguo la kocha, waliniambia wanipeleke timu nyingine kwa mkopo.
“Kama wangeng’ang’ania nibaki, timu isipofanikiwa watasemaje? wakati mimi sikuwa chaguo la kocha, waliniambia wanipeleke timu nyingine kwa mkopo. “Kuingia kwangu kwa kiasi fulani kuliwapa ugumu wacheze vipi na mimi, hawafahamu mijongeo yangu, hivyo ilikuwa changamoto na mimi kupata ugumu wa kuwa kwenye kikosi cha kwanza, hata nilipoingia bado ilikuwa ngumu, lakini polepole tumeanza kuelewa,” anasema.
“Kuingia kwangu kwa kiasi fulani kuliwapa ugumu wacheze vipi na mimi, hawafahamu mijongeo yangu, hivyo ilikuwa changamoto na mimi kupata ugumu wa kuwa kwenye kikosi cha kwanza, hata nilipoingia bado ilikuwa ngumu, lakini polepole tumeanza kuelewa,” anasema. “Mchezaji ni fitiness, unapopata nafasi ya kucheza mara kwa mara unazidi kuwa fiti, lakini baadae kocha aliamua kutonicheza kwa sababu zake binafsi.
“Mchezaji ni fitiness, unapopata nafasi ya kucheza mara kwa mara unazidi kuwa fiti, lakini baadae kocha aliamua kutonicheza kwa sababu zake binafsi. “Nilipowaeleza wakaniuliza kwanini ananiweka benchi, nikawaambia pia amefuata mfumo wa Sven, kwani alikuta nawekwa benchi na yeye akapita humo humo, nilikuwa na mabao 11, nikawa benchi hadi Bocco na Mugalu wakanipita.
“Nilipowaeleza wakaniuliza kwanini ananiweka benchi, nikawaambia pia amefuata mfumo wa Sven, kwani alikuta nawekwa benchi na yeye akapita humo humo, nilikuwa na mabao 11, nikawa benchi hadi Bocco na Mugalu wakanipita. “Kuna mechi kipa ananitukana ili anitoe mchezo, lakini wala sikuwahi kupaniki, niliamini ukijiamini unafanikiwa.
“Kuna mechi kipa ananitukana ili anitoe mchezo, lakini wala sikuwahi kupaniki, niliamini ukijiamini unafanikiwa. “Nikiwa Kenya, Yanga walinifuata, ilikuwa ni kipindi cha Manji (Yusuf), ni kati ya 2013 au 2012, nilikuja hadi Tanzania, tukafanya mazungumzo, lakini wakati huo pia ndipo Bidvest ya Afrika Kusini wakawa wananihitaji, Yanga wakaniambia niende nikishindwana nao nirudi.
“Nikiwa Kenya, Yanga walinifuata, ilikuwa ni kipindi cha Manji (Yusuf), ni kati ya 2013 au 2012, nilikuja hadi Tanzania, tukafanya mazungumzo, lakini wakati huo pia ndipo Bidvest ya Afrika Kusini wakawa wananihitaji, Yanga wakaniambia niende nikishindwana nao nirudi. “Mchezaji unapaswa kupata muda wa kucheza tu, mimi misimu miwili ya kwanza Simba nilipata nafasi hiyo ndiyo sababu nilikuwa mfungaji bora.
“Mchezaji unapaswa kupata muda wa kucheza tu, mimi misimu miwili ya kwanza Simba nilipata nafasi hiyo ndiyo sababu nilikuwa mfungaji bora. “Nafikiri tulicheza na Tanzania Prisons, ni mechi ambayo nilifunga bao, ulikuwa ni mwanzo mzuri kwangu na tangu hiyo siku kwenye mechi zote za Ligi za kwanza nilikuwa nafungua milango ya mabao.
“Nafikiri tulicheza na Tanzania Prisons, ni mechi ambayo nilifunga bao, ulikuwa ni mwanzo mzuri kwangu na tangu hiyo siku kwenye mechi zote za Ligi za kwanza nilikuwa nafungua milango ya mabao.