Home Habari za michezo BAADA YA KUVURUNDA…MORRISON AIANGUKIA YANGA….AOMBA MSAMAHA ADHARANI…

BAADA YA KUVURUNDA…MORRISON AIANGUKIA YANGA….AOMBA MSAMAHA ADHARANI…

Habari za Yanga

Staa wa klabu ya Yanga, Bernard Morrison ameomba radhi wanachama, mashabiki na wapezi wa klabu hiyo baada ya kutolewa kwenye ligi ya Mabingwa Afrika na Al Hilal ya Sudan.

Morrison amesema kwa sasa wanajipanga kufanya vizuri kwenye mechi za ligi na kuhakikisha wanafanya vizuri kwenye michuano ya kombe la Shirikisho Afrika.

“Kwa uongozi na mashabiki wa Yanga, tunaomba watuwie radhi kutokana na matokeo mabaya na kuondolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa, nguvu yetu sasa tunaielekeza kwenye michuano mingine ya Ligi na Kombe la Shirikisho Afrika.

“Kwa sasa wachezaji hatuna mengine ya kusema zaidi ya kuwaomba radhi, tunaomba mtusamehe sana mashabiki, msivunjike moyo, endeleeni kutusapoti timu yetu,” amesema Morrison.

SOMA NA HII  HIZI HAPA HESABU ZA SIMBA DHIDI YA POWER DYNAMOS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here