Habari za Yanga
Habari za michezo

KISA KUVAA SANA JEZI NYEUSI….YANGA WAFUNGULIWA KESI…

admin November 30, 2022 6:35 pm

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasilino ya Bodi ya Ligi ‘TPLB’ Karim Boimanda amekiri kupokelewa kwa malalamiko kutoka kwa Wadau wakiilalamikia klabu ya Young Africans kuvunja kanuni kwa kuvaa Jezi nyeusi mfululizo.

Young Africans imefululizo kuvaa Jezi za rangi nyeusi kwa Michezo ya nyumbani na ugenini ya Ligi Kuu, halia mbayo imeleta tahariki hadi malalaiko hayo kufikishwa Bodi ya Ligi ‘TPLB’.

Boimanda amesema jambo hilo litafanyiwa kazi na kama Young Africans watakuwa wamevunja kanuni, na adhabu yake ni faini Shilingi milioni moja.

Ameongeza klabu zinatakiwa zivae Jezi kulingana na jinsi walivyozitambulisha, Nyumbani, Ugenini na Jezi ya Tatu ambayo unaruhusiwa kuvaliwa sehemu yoyote ikiwa imetokea mgongano wa rangi za Jezi na pinzani.

BAADA YA KUWATIBULIA YANGA JANA…IHEFU WAANZA FUJO ZA USAJILI…VYUMA KUANZA KUSHUKA KAMA MVUA… BAADA YA KUONA SIMBA KAMA WAMEMCHUNIA HIVI…ADEBAYOR AWAPIGIA MAGOTI WAMSAJILI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply