Home Geita Gold FC ILE SINEMA YA MPOLE NA MABOSI ZAKE…YAFIKIA HATUA HII…GEITA WAKIMBILIA INSTGRAM…

ILE SINEMA YA MPOLE NA MABOSI ZAKE…YAFIKIA HATUA HII…GEITA WAKIMBILIA INSTGRAM…

Mshambuliaji wa Geita Gold, George Mpole amemalizana na uongozi wa timu hiyo, na jana Novemba 21, 2022 aliripoti kambini kwa ajili ya michezo ijayo ya Ligi Kuu Bara baada ya kufikia muafaka mzuri na uongozi wa timu hiyo.

Straika huyo alikuwa katika mgogolo na uongozi wa timu hiyo, kabla ya kugoma kuingia kambini akiwa amekosa michezo kadhaa ya Ligi .

β€œKijana karejea nyumban…” ni sehemu ya maneno yaliyoandikwa kwenye ukurasa wa @geitagoldfc yakielezea kurejea kwa nyota wao George Mpole ambaye kwa muda hakuwa pamoja na timu hiyo.

SOMA NA HII  MPYA YAIBUKA KIBEGI CHA SIMBA, WADAU WADAI KIPELEKWE MAKUMBUSHO..... ISHU NZIMA IKO HIVI