Habari za michezo

TETESI ZA USAJILI: HUYU HAPA KIUNGO ‘KISHADA’ ANAYENUKIA SIMBA…BEI YAKE MIL 500..

admin November 28, 2022 4:39 pm

Klabu ya Simba SC inahusishwa na kumsajili kiungo wa kati wa Primeiro De Agosto ya Angola, Dago Tshibamba Samu raia wa DR Congo kwenye usajili wa dirisha dogo.

Nyota huyo kwa mwenye umri wa miaka 25, thamani yake inatajwa kuwa ni takribani Tsh million 500.

TABIRI BUREE USHINDE INFINIX NOTE 12 YA FEI TOTO NA AISHI MANULA….ZINGATIA HAYA… KUMEKUCHA SIMBA….VYUMA VYA KAZI KUANZA KUSHUKA….MASTAA WATAKAOACHWA HAWA HAPA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply