Home Habari za michezo KISA USHINDI DHIDI YA HISPANIA…WAMOROCCO WAWAKANA WAARABU WENZAO…

KISA USHINDI DHIDI YA HISPANIA…WAMOROCCO WAWAKANA WAARABU WENZAO…

Kocha Mkuu wa Timu ya taifa ya Morocco, Walid Regragui amesema anachofahamu ni kuwa timu yake inapambana kuliwakilisha Bara la Afrika na sio Ukanda wa waarabu kama inavyosemwa na baadhi ya watu.

Baada ya jana kufanikiwa kuiondosha Timu ya Hipsania hapo jana kwa mikaju ya penati kunawalioanza kukejeli kuwa Morocco ni waarabu na hawajivunii kuwa wawakilishi wa Afrika.

“Sipo hapa kujadiri mambo ya siasa, nipo hapa kuhakikisha bendera ya Afrika inawakilishwa vyema kama ambavyo Senegal, Ghana, Cameroon wangefanya” amesema kochu huyo

Morocco itacheza hatua ya Robo Fainali dhidi ya Ureno ya Cristiano Ronaldo Desemba 10.

SOMA NA HII  BAADA YA KOMBE LA DUNIA...MIHELA YA MERIDIANBET YAHAMIA KWENYE CARABAO....HUKU ODDS MOJA TU UMEULA...