Hamis Tambwe akiwa Singida Big Stars
Habari za michezo

MASIKINI TAMBWE WEEH… YAMKUTA YA KUKUMKUTA NA SINGIDA BIG STARS…

admin December 21, 2022 1:25 pm

Taarifa kutoka katika Klabu ya Singida Big Stars, zinasema Uongozi wa Klabu hiyo umeamua kuachana na mshambuliaji wake Amissi Tambwe.

Tambwe alikuwa na Singida katika Ligi ya Championship na kufunga mabao yaliyosaidia kuipandisha Timu ya Singida Big Stars.

Tangu kupanda kwa Singida Big Stars, Tambwe amekosa nafasi katika kikosi cha kwanza na sasa ameoneshwa mlango wa kutokea.

WAKATI SIMBA WAKIFANYA SIRI…GEITA GOLD WAMNG’ANG’ANIA SAIDO.. BAADA YA KUUONA MZIKI WA TP MAZEMBE…NABI KAGUNA WEE KISHA AKASEMA HAYA …

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply