Habari za Simba
Habari za michezo

HIVI NDIVYO MAYELE ALIVYOMBURUZA MOSES PHIRI KITAKWIMU…NTIBAZONKIZA HOI BIN TAABANI..

admin December 8, 2022 6:32 pm

Mshambuliaji wa klabu ya Young Africans SC, Fiston Mayele amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa mwezi Novemba wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2022/23 akiwashinda Mosses Phiri wa Simba na Saido Ntibazonkíza wa Geita Gold alioingia nao fainali.

Katika mwezi Novemba Mayele alionesha kiwango kizuri baada ya kutoa mchango mkubwa kwa Yanga, ikiwa ni pamoja na kufunga mabao saba, kati ya mabao hayo matatu ‘hat trick’ akifunga katika mchezo mmoja.

Yanga ndio timu iliyopo kileleni katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa na alama 38.

TETESI : KOCHA WA AL AHLY KUTUA SIMBA SC…MPANGO MZIMA UKO NAMNA HII… WAKATI JAMBO LAKE NA SIMBA LIKIWA JUU JUU..MGUNDA IBUKA NA HILI JIPYA….ATOA MSIMAMO WAKE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply