Habari za michezo

TETESI : KOCHA WA AL AHLY KUTUA SIMBA SC…MPANGO MZIMA UKO NAMNA HII…

admin December 8, 2022 2:07 pm

Kocha aliyewahi kufanya kazi na Al Ahly ya Misri, Alexandre Santos anatajwa kuingia kwenye rada za Simba SC ili kuchukua nafasi ya Kocha Mkuu.

Kocha huyo anayefundisha Petro de Luanda mwenye umri wa miaka 46, anashikilia leseni ya UEFA Pro.

Kocha huyo anatajwa kuwa na uzoefu mkubwa na filabu vikubwa vya Afrika na nje ya Afrika miongoni mwa vilabu alivyovifanyia kazi ni pamoja na Al Ahly, FC Porto na Saudi Arabia.

AZAM WAPANIA KWA FEI TOTO…WAMWEKEA MIL 350 MEZANI PAMOJA NA MSHAHARA WA MIL 10 KWA MWEZI.. HIVI NDIVYO MAYELE ALIVYOMBURUZA MOSES PHIRI KITAKWIMU…NTIBAZONKIZA HOI BIN TAABANI..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply