Habari za Simba
Habari za michezo

KUHUSU ISHU YA KUJIONDOA SIMBA SC…MO DEWJI AIBUKA NA HILI…AFUNGUKA A-Z…

admin December 22, 2022 5:04 pm

Licha ya minong’ono inayoendelea chini kwa chini kuwa mwekezaji ndani ya Klabu ya Simba anafikiria kujiondoa lakini hilo linaweza lisiwe na ukweli ndani yake.

Rais wa Heshima wa Simba, Mohammed Dewji kupitia akaunti ya Instagram ameandika;

“Vaibu la juzi lilikuwa zuri sana katika fainali Kombe la Dunia. Nina furaha kwa Argentina ila mafanikio ya Simba ndio yananipa furaha zaidi ????,”

Ujumbe huu wa Mo ni ishara tosha kuwa ana furaha kuwepo Simba na mafanikio ya Simba ndicho kitu anachokihitaji.

KUWA BINGWA KWA KUCHEZA SLOTI YA ‘ODD ONE OUT’ KUTOKA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET! SARE DHIDI YA KAGERA SUGAR YAMFANYA AHMED ALLY KUIBUKA NA HILI SIMBA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply