Home Habari za michezo SHAFII DAUDA NA TFF NGOMA BADO MBICHI….HUKUMU YAKE BADO YASOMA VILE VILE…

SHAFII DAUDA NA TFF NGOMA BADO MBICHI….HUKUMU YAKE BADO YASOMA VILE VILE…

Habari za Yanga

Kamati ya maadili ya TFF imeamua kutupilia mbali maombi ya mjumbe wa DRFA aliyefungiwa na TFF, Bw Shafii Dauda hivyo ataendelea kutumikia adhabu hiyo.

Shafii aliomba shauri lake kusikilizwa tena ili haki itendeke pamoja na kuomba kamati imuondolee adhabu ya kufungiwa na faini lakini amegonga mwamba.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa kamati ya maadili Mwita Waisaka, Shafii Dauda alishindwa kuhudhuria kikao cha kamati hiyo na pia ameshindwa kutekeleza maamuzi ya kufungiwa.

SOMA NA HII  KUMBE SIMBA WAMEWEKA KAMBI ZANZIBAR KWA SABABU HII...KIBADENI AFUNGUKA A-Z