Home Habari za michezo TETESI…BAADA YA SIMBA NA YANGA KUMSUSA….WACONGO WAMVUTA GEORGE MPOLE KWAO…

TETESI…BAADA YA SIMBA NA YANGA KUMSUSA….WACONGO WAMVUTA GEORGE MPOLE KWAO…

Wakati mshambuliaji George Mpole akizua sintofahamu kufuatia kuvunjwa mkataba na klabu yake ya Geita Gold, Jana ametua nchini DR Congo kukamilisha dili lake na moja ya klabu kubwa ya huko.

Taarifa za uhakika zinadai zaidi ya asilimia 80 ni kwamba Mpole ambaye alikuwa mfungaji bora msimu uliopita ametua Jijini Lubumbashi tayari kwa kujiunga na matajiri wa FC Lupopo.

SOMA NA HII  KUMBE ALIYEWATIA UCHUNGU SIMBA JUZI NI 'MCHEZAJI WA NDONDO'...HANA MKATABA NA MLANDEGE..