Habari za Yanga SC Leo
Habari za michezo

SAKATA LA FEI TOTO NA YANGA…WAKILI AKATALIWA….MAREHEMU HANS POPE ATAJWA….

admin January 9, 2023 6:50 am

Wanasheria wa Feitoto wamemkataa Mwanasheria Msomi Alex Mgongolwa wakitaka aondoke katika jopo la wanasheria wanaoiwakilisha Yanga SC kwa kuwa ni mgongano wa kimaslahi wakikumbushia marehemu Zacharia Hanspope alipotolewa kwenye kesi ya Morrison kutokana na mgongano wa kimaslahi.

Hata hivyo kamati imeona hakuna haja ya kutolewa kwa mwanasheria huyo mkongwe na badala yake aendelee kuiwakilisha Yanga.

Baada ya kikao, wakili anayemsimamia Feisal Salum akiondoka katika ofisi za (TFF) na mteja wake Feisal kwenye gari, amesema …..

“Mpaka sasa hakuna mwanga kuhusu sakata la mteja wangu, sifahamu kama atarejea Yanga ama laa. Wenye kujua hilo ni (TFF)”

Alipoulizwa kama anachochote cha kuwaambia WanaYanga na kuhusu mteja wake kwamba atarejea Dubai au atabaki nchini Tanzania? ameema….;

“Sina chochote cha kuwaambia mashabiki wa Young Africans sports club.. Kwa sasa mteja wangu (Feisal Salum Abdallah) atakuwa akipatikana Zanzibar

KOCHA MBRAZILI AANZA NA STRAIKA SIMBA….OKRAH, OKWA WAKWAMA…NABI KICHEKO TUPU… KOCHA MBRAZILI SIMBA AANZA NA KIBU DENIS…AOMBA KUJUA URAIA WAKE…MKUDE NAYE MHH…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply