Home Habari za michezo MO DEWJI ATINGA NA ‘KIPENSI’ KAMBI YA SIMBA SC DUBAI…ALICHOSEMA HIKI HAPA…

MO DEWJI ATINGA NA ‘KIPENSI’ KAMBI YA SIMBA SC DUBAI…ALICHOSEMA HIKI HAPA…

Habari za Simba SC

Rais wa heshima wa klabu ya Simba Sc, Mohammed Dewji leo Jumanne (Januari 10) ametembelea kambi ya kikosi cha Klabu hiyo mjini Dubai-Falme za Kiarabu.

Kikosi cha Simba SC kimeweka Kambi mjini humo kwa ajili ya kujiandaa na Ligi ya Mabingwa Barani Afrika sambamba na Michezo ya Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho Tanzania Bara ‘ASFC’.

Akiwa kambini Tajiri huyo alipata nafasi ya kuongea na wachezaji na benchi la ufundi kuhusu mambo mbalimbali ya klabu na mipango yake ya kuhakikisha Simba SC inatwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Habari za Simba SC Habari za Simba SC Habari za Simba SC Habari za Simba SC Habari za Simba SC Habari za Simba SC Habari za Simba SC Habari za Simba SC

SOMA NA HII  BAADA YA KIMYA KIREFU...SAIDO AVUNJA UKIMYA YANGA..AFUNGUKA KUHUSU NABI NA MKATABA MPYA..