Habari za Simba
Habari za michezo

BAADA YA KUONA SIMBA YA MBRAZILI INAVYOCHEZA…MO DEWJI ASHINDWA KUJIZUIA…ACHUKUA MAAMUZI HAYA MAPYA…

admin February 5, 2023 7:09 am

Rais wa Heshima na Mwekezeji wa Klabu ya Simba SC Mohamed Dewji ‘Mo’ ameonesha furaha yake baada ya kikosi cha Klabu hiyo kuibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Singida Big Stars.

Dewji ameonesha furaha hiyo kupitia kurasa zake za Mitandao ya Kijamii, akiweka video ya magoli ya Simba yaliyofungwa na Jean Baleke, Saido Ntibazonkiza na Pape Sakho.

Mbali na kuweka Video hiyo, Tajiri huyo ameandika: Napenda jinsi Simba inavyocheza na kufunga! Tupo tayari kwa ajili Ligi ya Mabingwa #NguvuMoja

Wekundu wa Msimbazi wataanza kampeni ya kucheza hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika mwishoni mwa juma lijalo kwa kucheza ugenini (Guinea) dhidi ya Horoya AC.

Simba SC imepangwa Kundi C sambamba na Mabingwa wa Uganda Vipers SC, Raja Casablanca (Morocco) na Horoya AC.

MSHERY ‘KUPIGWA KISU’ TUNISIA…YANGA WAAMUA LIWALO NA LIWE…ISHU NZIMA IKO HIVI… WAKATI YANGA WAKITAMBA NA MUSONDA….WAPINZANI WAO CAF WASHUSHA MAJEMBE YA KAZI…NI BALAA TUPU..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply