Habari za Yanga
Habari za michezo

WAKATI MORRISON ‘AKILA BATA’..MUSONDA AZIDI KUING’ARISHA YANGA KIMATAIFA…ACHAGULIWA CAF…

admin February 22, 2023 11:53 am

Mshambuliaji wa kimataifa wa Zambia na Yanga SC, Kennedy Musonda Jr ameingia kwenye Timu ya Wiki ya #CAFCC baada ya kuisaidia klabu yake kushinda 3-1 dhidi ya TP Mazembe huku akihusika kwenye mabao mawili ya Yanga SC.

Katika mchezo dhidi ya Mazembe Musonda alifunga bao la kwanza na kutoa pasi ya bao la pili kwa Mudathir Yahaya.

Kikosi Bora Cha Wiki Kombe la Shirikisho Afrika kipo kama ifuatavyo;

Mlinda Mlango

  1. Ossama Benbot

Walinzi

  1. Souleymane Coulibaly
  2. Ngweni Ndasi
  3. Joslain Liwanda
  4. Chidiebube Duru

Viungo

  1. Philippe Kinzumbi
  2. Suhaib Suleiman
  3. Mohamed Rabie
  4. Kennedy Musonda

Washambuliaji

  1. Hamza Igamane
  2. Nyima Nwagua
YANGA WAAMUA KUISHUSHIA KMC MAMBO YA TP MAZEMBE…MORRISON KAMA KAWA ‘ANAKULA BATA’… MBRAZILI SIMBA MAMBO YAWA ‘JIWE’…APEWA DAKIKA 270 ZA KUJITETEA….LA SIVYO KUMKUTA YA ‘KANGA’…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply