Habari za Simba SC
Habari za michezo

KIMENUKA SIMBA…DEWJI ATANGAZA KUMTAMBUA MGUNDA KAMA KOCHA MKUU WA TIMU…

admin February 24, 2023 6:20 pm

Wakati wingu zito likizidi kutanda kunako klabu ya Simba SC ikianziwa na hatima yao kunako michezo ya hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Bado Ubingwa wa Ligi Kuu nao pengo kati yao na vinara Yanga linazidi kuwa kubwa baada ya sare yao na Azam FC juzi na sasa ikiwa ni alama 8.

Kwa matukio hayo mawili makubwa tayari hali ya hewa ndani ya Simba inaonekana kutokuwa shwari kwani wapo mashabiki wanaotaka uongozi ung’oke, lakini kuna wale wanaomnyooshea kidole Kocha Robertinho.

Sasa kubwa kuliko yote ni kauli ya Aliyekuwa mfadhili wa klabu ya Simba, Azim Dewji amesema anamtambua Juma Mgunda kama kocha Mkuu wa klabu hiyo na sio Robertinho.

“Binafsi namtambua Juma Mgunda kama kocha mkuu wa klabu ya Simba, Robertinho ni kama shabiki tu”.

PAMOJA NA KUANZA KWA VIPIGO…MKENYA AIPELEKA SIMBA ROBO FAINAL CAF…AGUNA KUHUSU YANGA.. BAADA YA KUPONDWA SANA…MWANYETO AANZA KUKIWASHA YANGA…NABI AFUNGUKA ALICHOMFANYIA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply