Habari za Yanga
Habari za michezo

VIGONGO VYA YANGA KWA MWEZI HUU VIMEKAA NAMNA HII…WAKITELEZA KIDOGO TU IMEKULA KWAO…

admin March 1, 2023 6:52 pm

Ni Machi Mosi 2023 ikiwa ni ukurasa mwingine ambao unaanza kufunguliwa kwa sasa. Wananchi wao wana kazi kwenye anga la kitaifa na kimataifa na wana vigongo vya kucheza kusaka ushindi.

Hivi hapa vigongo vya Wananchi yonolewa na Kocha Mkuu Nasreddine Nabi ndani ya Machi zipo namna hii:-

Yanga v Prisons Machi 3 huu ni mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 16 bora.

Yanga v Real Bamako Machi 8,2023 huu ni mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi.

Wananchi v Geita Gold, itakuwa ni Machi 12, huu ni wa Ligi Kuu Bara.

Yanga v US Monastir itakuwa ni Machi 19 Uwanja wa Mkapa huu ni wa hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika.

KUHUSU ISHU YA UMRI ….MASTAA BONGO WAPEWA ZA USO….MIAKA YAO YATAJWA HADHARANI… BAADA YA KUPONA…PHIRI ATUMA MAOMBI HAYA SIMBA…YANGA WASAKA REKODI NYINGINE BARA..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply