Habari za Simba
Habari za michezo

PHIRI AITAKA NAMBA YAKE SIMBA…ATANGAZA JAMBO ZITO KWA KINA BOCCO…

admin March 4, 2023 9:04 am

Baada ya kukaa nje ya Uwanja kwa majuma kadhaa akiuguza majeraha, Straika wa Simba Moses Phiri amesema kwa sasa yuko fiti asilimia 100 kupambania namba yake aliokuwa anaanza kabla ya kukumbwa na majeraha.

Phiri ambae amefunga mabao 10 ya Ligi Kuu alikua ndio mshambuliaji Kinara wa Simba lakini alipata majeraha yaliyomfanya akae nje kwa majuma kadhaa.

Kwa sasa Phiri yuko fiti na amesema anahitaji muda wa kutosha kucheza kwa lengo lake ni kupambania namba.

“Kwa sasa nipo fiti nahitaji dakika nyingi ili niweze kufunga mabao, malengo yangu mwanzoni mwa msimu yalikuwa ni kufikisha zaidi ya mabao 15, nitahitaji muda wa kucheza ambao utanijengea kujiamini zaidi, tofauti na dakika chache ambazo zinakuwa na presha kubwa.”

WAKATI MO DEWJI AKITEUA WATU WAKE…RAGE AFUFUA UPYA ISHU YA MABADILIKO SIMBA…AHOJI HAYA… A-Z JINSI YANGA WALIVYOIFANYIZIA PRISONS JANA…MZIZE AZIDI KUMPAGAWISHA NABI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply