Habari za Simba
Habari za michezo

AHMED ALLY ;- IWE JUA IWE MVUA SIMBA KESHO LAZIMA KIELEWEKE….

admin March 6, 2023 2:50 pm

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema hakuna jambo jingine wanalihitaji kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Vipers SC ya Uganda zaidi ya ushindi.

Ahmed amesema ushindi dhidi ya Vipers utaiongezea Simba nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali kwa kuwa watafikisha alama sita hivyo ni jukumu la Wanasimba wote kuaniza viongozi, benchi la ufundi, wachezaji mpaka mashabiki kila mmoja kutimiza wajibu wake.

“Jumanne tuna jukumu zito Wanasimba, tunahitaji kujitokeza kwa wingi uwanjani kuipa sapoti timu yetu. Ni matumanini yetu kila mmoja atatimiza majukumu yake,” alisema Ahmed.

KUHUSU YANGA KUSAJILI KIFAA CHA REAL BAMAKO…UKWELI UKO HIVI…MORRISON MGUU NDANI MGUU NNJE… MBRAZILI WA VIPERS AINGIWA NA UBARIDI NA ‘VIBE’ LA SIMBA KWA MKAPA…APANGA KUJA NA HILI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply