Habari za Yanga
yanga

FEISAL SALUM “FEI TOTO” ALIKUWA NA STRESS…MGOGORO NA YANGA WAMSUMBUA…AITWA STARS KUPUNGUZA MAWAZO

Marce Ben Komba March 15, 2023 10:30 am

Wakati mjadala ukizidi kupamba moto kutokana na kujumuishwa katika kikosi cha Timu ya Taifa Kiungo wa Yanga, Feisal Salum “Fei Toto” wakati amekaa nje pasipo kucheza mchezo wowote wa mashindano kwa muda usiopungua miezi mitatu kutokana na kuwa na mgogoro na klabu yake.

Kamanda Geof Leah anasema kuwa Feisal Salum ameitwa timu ya Taifa ili kuondolewa Stress (msongo wa mawazo) kutokana na hiki ambacho anakipitia kati yake na Yanga.

KOCHA TAIFA STARS APELEKEWA MAJINI…KUINGIA NAYO KAMBINI…VIMEMO VYATUMIKA KUITA STARS MCHAMBUZI WA SOKA….SIO JAMBO LA KUSHANGAZA…TSHABALALA KUACHWA TAIFA STARS

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply