KOCHA TAIFA STARS APELEKEWA MAJINI...KUINGIA NAYO KAMBINI...VIMEMO VYATUMIKA KUITA STARS
Taifa Stars

KOCHA TAIFA STARS APELEKEWA MAJINI…KUINGIA NAYO KAMBINI…VIMEMO VYATUMIKA KUITA STARS

Marce Ben Komba March 15, 2023 10:10 am

Siku chache zilizopita Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF, lilimtangaza Kocha Mpya wa Timu ya Taifa Mbeligiji mwenye asili ya Algeria Adel Amrouche.

Licha ya ugeni wake Machi 13 aliita kwa mara ya kwanza kikosi cha Timu ya Taifa kwa ajili ya kujiandaa na michezo ya kuwania kufuzu AFCON.

Sasa mchambuzi wa Soka nchini Oscar Oscar haamini kwamba Kocha huyo amepata wasa wa kuwatazama wachezaji na badala yake anapelekewa majini ili aite kwa ajili ya kuingia kambini pasipo yeye mwenyewe kujiridhisha.

Mzee wa Kaliua Oscar oscar anasema ifike wakati itengwe fedha kwa ajili ya Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ili kwenda kuwaangalia wachezaji wa Stars waanaocheza nje na wale wanaocheza mikoani ili Kocha asiwe anaita timu kwa kutumia vimemo.

SILAHA HATARI YA SIMBA YAREJEA…MSIMBAZI WAZIDI KUJIKOKI…HOROYA WATAKIMBIA FEISAL SALUM “FEI TOTO” ALIKUWA NA STRESS…MGOGORO NA YANGA WAMSUMBUA…AITWA STARS KUPUNGUZA MAWAZO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply