MCHAMBUZI WA SOKA....SIO JAMBO LA KUSHANGAZA...ZIMBWE Mohammed Hussein TSHABALALA KUACHWA TAIFA STARS
Habari za michezo

MCHAMBUZI WA SOKA….SIO JAMBO LA KUSHANGAZA…TSHABALALA KUACHWA TAIFA STARS

Marce Ben Komba March 15, 2023 10:40 am

Machi 13 Kikosi cha Wachezaji 31 cha Timu ya Taifa kilitangazwa kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya Timu ya Taifa ya Uganda.

Mbali na kuitwa kikosi hicho kuna wachezaji wamekosekana akiwemo mlinzi wa kushoto wa Simba SC Mohammed Hussein “Tshabalala”

Wengi wamehoji kukosekana kwa beki huyo ambae yupo kwenye ubora wa juu kwa sasa, lakini Mchambuzi wa Soka Geoff Lea amesema kwake yeye sio jambo la ajabu kutoitwa kwa mchezaji huyo.

FEISAL SALUM “FEI TOTO” ALIKUWA NA STRESS…MGOGORO NA YANGA WAMSUMBUA…AITWA STARS KUPUNGUZA MAWAZO SIMBA KUINGIZA MIL 2.2 KILA SEKUNDE 60…MO DEWJI AFANYA MAAJABU YAKE…JASHO NA DAMU KWA MKAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply