Pongezi kwao Simba Sc kwa kufika robo fainali ni mafanikio makubwa kwa Timu kutoka Tanzania mara nyingi timu kutoka Tanzania huwa hazifiki hata makundi na zikifika zinashika nafasi ya mwisho katika kundi Simba kufika robo fainali wapongezwe
Kilichoipa nguvu Simba Sc ni Bilioni 1.8B za CAF pamoja na Milioni 200 za Mo Dewji, na Milioni tano tano za Mama Samia, Watanzania kwetu ni mafanikio kwa soka letu mwanzo mafanikio kama haya tulikuwa tukiyaona huko Misri, au Congo, ila miaka motano ya karibuni Simba wanatuletea hapahapa Tanzania
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.