MAGOLI BORA CAF: FRIII KIKI YA CHAMA YAPIGIWA SALUTI CAF...ULE MSHUTI WA KANOUTE SASA
CAF

MAGOLI BORA CAF: FRIII KIKI YA CHAMA YAPIGIWA SALUTI CAF…ULE MSHUTI WA KANOUTE SASA

Marce Ben Komba March 22, 2023 9:43 am

CAF imetoa mabao bora katika mzunguko wa 5 ambapo klabu ya Simba SC ya imetoa wachezaji wawili ambao ni Saido Kanoute na Clatous chama ambao walifunga mechi dhidi ya Horoya AC katika uwanja wa Mkapa kwenye ushindi wa mabao 7-0.

Mabao yaliyochaguliwa ni lile la kwanza la Chama alilofunga dakika ya 10 kwa frii kiki’ na la Kanoute alilofunga lililokuwa la saba dakika ya 87 kwa shuti kali.

Siku chache Chama alitangazwa kuwa mchezaji Bora wa wiki wa Michuano ya Ligi ya Mabingwa mechi za Mzunguko wa nne

SIMBA YATAMBA LIGI YA MABINGWA…YATOA WANNE KIKOSI BORA CAF…LIST KAMILI HII HAPA TAIFA STARS KUPAMBANA KUFA KUPONA…WAAPA KUWAUA UGANDA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply