SIMBA YATAMBA LIGI YA MABINGWA...YATOA WANNE KIKOSI CHA BORA CAF...LIST KAMILI HII HAPA
Michezo

SIMBA YATAMBA LIGI YA MABINGWA…YATOA WANNE KIKOSI BORA CAF…LIST KAMILI HII HAPA

Marce Ben Komba March 22, 2023 9:20 am

Kikosi cha Simba SC kimeendelea kutakata katika Rekodi
mbalimbali za CAF baada ya kufanikiwa kutoa wachezaji wanne (4) katika Kikosi bora cha wiki Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika mzunguko wa tano.

Wachezaji hao wanne wa Simba waliopata nafasi ya kuingia katika Kikosi bora cha wiki ni pamoja na mlinzi Shomari Kapombe, Kiungo Sadio Kanoute, Clatous Chama na Jean Baleke.

Timu zilizotoa wachezaji ni kama zifuatazo;
4x SimbaSCTanzania
2x Al Ahly
2x Crbelouizdadoff
1x AS Vita Club
1x Mamelodi Sundowns
1x Wydad Casablanca
Tazama Kikosi kilivyo hapa chini;

FEISAL SALUM “FEI TOTO”…MECHI NA UGANDA TUTASHINDA MAGOLI BORA CAF: FRIII KIKI YA CHAMA YAPIGIWA SALUTI CAF…ULE MSHUTI WA KANOUTE SASA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply