SIMBA KUFANYIWA FIGISU MOROCCO...WAPEWA RATIBA HII NGUMU...MECHI DHIDI YA RAJA CA
Habari za michezo

SIMBA KUFANYIWA FIGISU MOROCCO…WAPEWA RATIBA HII NGUMU…MECHI DHIDI YA RAJA CA

Marce Ben Komba March 30, 2023 7:58 am

Kikosi cha Simba kimeondoka nchini leo majira ya saa 11:00 asubuhi kuelekea Morocco tayari kwa mchezo dhidi ya Raja Casablanca ambao utakuwa wa mwisho wa hatua ya makundi.

Mchezo huo utapigwa Machi 31 saa nne usiku kwa muda wa Morocco ambapo huku kwetu itakuwa Aprili Mosi saa saba usiku.

Simba na Raja wote wameshakata tiketi ya kuingia hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika ambayo Droo ya michezo ya Robo Fainali itachezeshwa Aprili 5 nchini Misri.

HII HAPA DROO YA LIGI YA MABINGWA AFRIKA…SIMBA ATAKIPIGA NA…? KOCHA YANGA “MNATAKA KUMUONA MORISSON?…MTAMUONA ATAKAPOFUNGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply