Habari za michezo
KOCHA YANGA “MNATAKA KUMUONA MORISSON?…MTAMUONA ATAKAPOFUNGA
Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amesema katika mchezo dhidi ya TP Mazembe atamtumia winga wake Bernard Morisson ambae amekuwa nje ya Uwanja kwa kipindi kirefu.
Akizungumza Kocha Nabi amesema;
“Mwanzo Morrison sikumtumia kwa kuwa alikuwa na programu maalum ya kujiweka sawa, pia kulikuwa na watu wameingia kwenye mfumo na ukizingatia tulikuwa tunatafuta kufuzu Robo fainali, ila kwa sasa anaweza kuanza kucheza na mtamuona.”
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.