Home news BAADA YA KUWA NNJE MUDA MREFU…MORRISON ALIANZISHA UPYA YANGA…

BAADA YA KUWA NNJE MUDA MREFU…MORRISON ALIANZISHA UPYA YANGA…

Habari za Yanga

Kiungo Mshambuliaji wa Kimataifa wa Yanga, Bernard Morrison ameanza mazoezi na wenzake mara baada ya kupona majeraha yaliyokuwa yanamkabili.

Licha ya kupona majeraha yake ila kuna uwezekano Mkubwa wa Nyota huyo kuwakosa Real Bamako ambapo watacheza dhidi ya Yanga Machi 8,2023, Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Morisson alikuwa nje ya kikosi kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya nyama za paja yakiyokuwa yanamkabili.

Katika kipindi ambacho Morisson alikuwa nje alikosa michezo dhi ya US Monastir (A), TP Mazembe (H), KMC(A) na AS Real Bamako (A)

SOMA NA HII  MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI