CLATOUS CHAMA…MIMI KAMA MCHEZAJI SINA MANENO MENGI…NITAONYESHA VITENDO ZAIDI
CLATOUS CHOTA CHAMA MWAMBA WA LUSAKA
[the_ad id="25893"]
“Jambo muhimu tunalotakiwa kujua ni mchezo ni muhimu kwetu na mimi kama mchezaji sina maneno mengi ya kusema sababu nadhani ninachotakiwa kusema ni kuonyesha ninachoweza kufanya kwenye mchezo.”- Clatous Chama.