Home Matokeo ya Simba FT: SIMBA SC 7-0 HOROYA AC…CAF CHAMPIONS LEAGUE…BENJAMIN MKAPA…18.03.2023

FT: SIMBA SC 7-0 HOROYA AC…CAF CHAMPIONS LEAGUE…BENJAMIN MKAPA…18.03.2023

FT: SIMBA SC 7-0 HOROYA AC...CAF CHAMPIONS LEAGUE...BENJAMIN MKAPA...18.03.2023
[the_ad id="25893"]

Mnyama Mkubwa Mwituni asiyefugika, Simba Sports Club leo na Horoya AC katika mchezo muhimu wa kundi C. mabao 7-0

Simba imeingia uwanjani ikiwa na alama 6 huku Horoya wakiwa na alama 4. Ushindi umewafanya Simba wafuzu robo fainali.

Shime wana Simba tujitokeze kwa wingi hapo

Mchezo umechezwa mubashara saa 1:00 usiku na kama kawaida, ZBC 2 ya AzamTv na Variety 4 ya DStv watakuwa live.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Simba Sports Club. 🦁🦁🦁

====
Kikosi cha Simba SC

KIKOSI SIMBA SC VS HOROYA AC

Timu zinaingia uwanjani
Mchezo unaanza
2′ Timu zinasomana mchezo
5′ Simba wanaongeza kasi ya mashambulizi
10′ Goooooooooo
Chama anafunga goli kwa faulo ya moja kwa moja
15′ Simba wanakosa nafasi ya wazi baada ya Kibu Denis kuteleza
20′ Horoya wanaonesha kujibu mashambulizi
27′ Kidogo kasi ya mchezo imepungua lakini timu zote zinatengeneza mashambulizi
29′ Kadi ya njano kwa Kibu Denis
31′ Gooooooooo
Baleke anafunga goli la pili
35′ Penatiiii kwa Simba baada ya mlinzi wa Horoya kuunawa mpira
Gooooooo
Chama anaipatia Simba goli la tatu kwa penati
45′ Zinaongezwa dakika 2

MAPUMZIKO: Simba wanaongeza kwa Magoli 3-0

Kipindi cha pili kinaanza
Horoya wanafanya mabadiliko ya kipa

55′ Goooooooo
Kanoute anafunga kwa shuti akimalizia pasi ya Chama
57′ Anatoka Kibu Denis anaingia Sakho
60′ Horoya wanaamka na kufanya mashambulizi
65′ GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Chama anafunga goli la 6 kwa Simba na la 3 kwake katika mchezo huu akimalizia pasi ya Sakho
87′ Kanoute anafunga goli la pili kwake na la saba kwa Simba
90′ FULL TIME

SOMA NA HII  WANAOKUSHANGILIA WATAKUJA KUKUCHEKA...KIUNGO SIMBA AMSHAURI FEISAL SALUM "FEI TOTO"

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here