Home Michezo HALI TETE UWANJA WA MKAPA…MVUA KUBWA YANYESHA UWANJA UMEJAA MAJI

HALI TETE UWANJA WA MKAPA…MVUA KUBWA YANYESHA UWANJA UMEJAA MAJI

HALI TETE UWANJA WA MKAPA…MVUA KUBWA YANYESHA UWANJA UMEJAA MAJI
[the_ad id="25893"]

Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimeanza kujaza maji baadhi ya eneo la kuchezea la Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Mvua hizo ambazo zimeanza kunyesha mchana leo zimezalisha maji ambayo yameanza kuonekana yakijaa baadhi ya maeneo ya uwanja huo.

Hali hiyo inaleta wasiwasi juu ya hali itakavyokuwa baadaye wakati mchezo wa Hatua ya Makundi wa Kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji Yanga dhidi ya US Monastir utachezwa kuanzia saa 1:00 usiku

SOMA NA HII  YANGA NA JUMA MWAMBUSI KUHUSU KUREJEA KWAKE WAMEFIKIA HAPA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here