Home Habari za michezo HII HAPA WIKIENDI NYINGINE YA KUBEBA MTONYO KUTOKA MERIDIANBET….ZINGATIA ODDS HIZI TU…

HII HAPA WIKIENDI NYINGINE YA KUBEBA MTONYO KUTOKA MERIDIANBET….ZINGATIA ODDS HIZI TU…

Meridianbet
[the_ad id="25893"]

Ligi mbalimbali barani Ulaya wikendi hii zipo tayari kukupatia pesa kubwa unayoitaka huku mechi kali zikitarajiwa kupigwa kule Serie A, Laliga, Ligue 1, EPL, Bundesliga ambapo ni wewe tu kuingia Meridianbet na kubeti mechi zako.

Ligi mbalimbali kuendelea wikiendi hii ambapo leo hii kutakuwa na mechi nyingi  katika ligi mbalimbali na Meridianbet wanaendelea kukupa pesa za kutosha Wakati huo huo,

EPL inakuja kivingine jumamosi hii ambapo kutakuwa na vita kali kati ya Tottenham Spurs dhidi ya Southampton anayeshikilia mkia. Spurs ametoka kushinda mechi yake iliyopita huku Southampton yeye akitoa sare, na mechi ya mwisho kukutana Spurs aliondoka na ushindi.  Conte anahitaji ushindi ili apande nafasi ya tatu kwenye msimamo wa EPL. Bashiri hapa sasa na ushinde na Meridianbett.

Jumamosi hiyo hiyo pale  EPL  hapatapoa ambapo itapigwa mechi kali kati ya Vijana wa Graham Potter Chelsea dhidi ya Everton ambao hawapo kwenye nafasi nzuri ya msimamo wa ligi. Mechi hiyo itapigwa majira ya saa 2:30 usiku huku The Blues mechi ya mwisho aliondoka na pointi tatu. Potter na timu yake wameshinda mechi tatu mfululizo kwenye mashindano yote. Je kesho watafanya nini?  Meridianbett watakulipa zaidi kwa Everton kuondoka na ushindi akiwa amepewa Odds ya  7.05, huku sare ikiwa ni Odds 4.21. Bashiri sasa na ushinde mkeka wako.

Tukisalia hapo hapo Ligi pendwa, Siku ya Jumapili Vijana wa Mikel Arteta  Arsenal watawakaribisha Crystal Palace ambayo imemtimua kocha wake hii leo kutokana na kuwa na matokeo mabaya ambayo amekuwa akiyapata. Hii ni mechi ambayo Arsenal anahitaji ushindi ili azidi kujihakikishia nafasi ya kwanza. Je unampatia nani ushindi wako hapa? Bashiri hapa kwa machaguo Zaidi ya 1000+ na Meridianbet

Kwenye Bundesliga sasa itapigwa mbugi ya hatari itakayowakutanisha Borrusia Dortmund dhidi ya FC Cologne Dortmund anashikilia nafasi ya pili huku akiwa pointi mbili nyuma ya vinara Bayern. Cologne yeye yupo nafasi ya 12 huku akiwa ametoka kupoteza mechi yake iliyopita. Angusha mkeka wako wa nguvu na Meridianbett kwa Odds za kushiba.

Tukihamia pale Laliga Santander ni EL Classico inayowakutanisha vinara wa Ligi FC Barcelona dhidi ya Real Madrid ya Carlo Ancelotti huku emchi ya kwanza kwenye mzunguko wa ligi Xavi alibamizwa. Je ni nafasi ya Barca kulipa kisasi? Huku mechi ya mwisho kwenye kombe la Hispania Madrid walishindwa kufurukuta. Weka jamvi lako hapa kwa pesa ya uhakika.

Tukimalizia kule Ligue 1 nako vumbi linatimka ambapo PSG atamenyana dhidi ya Rennes huku wakihitaji kutetea taji lao la Ligue 1. Naye  Marseille atakipiga dhidi ya Reims Wikendi hii kukiwasha katika uwanja wa Marseille. Bashiri hapa na Meridianbett uondoke na kitita cha pesa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here